-
Ni Nani Awezaye Kusimama Dhidi ya mkuu wa Wakuu?Sikiliza Unabii wa Danieli!
-
-
Naam, ikajitukuza hata juu yake aliye mkuu wa jeshi hilo, ikamwondolea sadaka ya kuteketezwa ya daima, na mahali pa patakatifu pake pakaangushwa chini.
-
-
Ni Nani Awezaye Kusimama Dhidi ya mkuu wa Wakuu?Sikiliza Unabii wa Danieli!
-
-
Na kwa mashauri yake atafanikisha hila mkononi mwake; naye atajitukuza nafsi yake moyoni mwake; naye atawaangamiza wengi katika hali yao ya salama; naye atasimama kushindana naye aliye Mkuu wa wakuu; lakini atavunjika, bila kazi ya mikono.”—Danieli 8:23-25.
-