-
Ni Nani Awezaye Kusimama Dhidi ya mkuu wa Wakuu?Sikiliza Unabii wa Danieli!
-
-
Na jeshi likatolewa kwake pamoja na sadaka ya kuteketezwa ya daima, kwa sababu ya makosa; nayo ikaiangusha kweli hata chini; ikatenda ilivyopenda, na kufanikiwa.”—Danieli 8:9-12.
-
-
Ni Nani Awezaye Kusimama Dhidi ya mkuu wa Wakuu?Sikiliza Unabii wa Danieli!
-
-
Na kwa mashauri yake atafanikisha hila mkononi mwake; naye atajitukuza nafsi yake moyoni mwake; naye atawaangamiza wengi katika hali yao ya salama; naye atasimama kushindana naye aliye Mkuu wa wakuu; lakini atavunjika, bila kazi ya mikono.”—Danieli 8:23-25.
-