Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Ni “Mfunuaji wa Siri”
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Juni 15
    • Katika maono mengine, Danieli alieleza jinsi mbuzi mwenye pembe moja kubwa anavyomuua haraka kondoo-dume mwenye pembe mbili, yaani, Umedi na Uajemi. Yehova alimwambia Danieli kwamba mbuzi huyo alifananisha Ugiriki na ile pembe kubwa ilifananisha mmoja wa wafalme wake.

  • Yehova Ni “Mfunuaji wa Siri”
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Juni 15
    • Aleksanda Mkuu, mfalme maarufu zaidi wa Milki ya kale ya Ugiriki, aliongoza mashambulizi dhidi ya Umedi na Uajemi.

  • Yehova Ni “Mfunuaji wa Siri”
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Juni 15
    • Kisha, ufalme wake uligawanyika mwishowe na kuchukuliwa na majenerali wake wanne.—Soma Danieli 8:20-22.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki