-
Yehova Ni “Mfunuaji wa Siri”Mnara wa Mlinzi—2012 | Juni 15
-
-
Vilevile, Danieli alisema kwamba ile pembe kubwa ingevunjwa na kisha pembe nne ndogo zaidi zingekua au kutokea mahali pake.
-
-
Yehova Ni “Mfunuaji wa Siri”Mnara wa Mlinzi—2012 | Juni 15
-
-
Hata hivyo, pembe hiyo ilivunjika mara moja wakati mfalme huyo mkuu alipokufa akiwa katika upeo wa mamlaka yake na akiwa na umri wa miaka 32 tu. Kisha, ufalme wake uligawanyika mwishowe na kuchukuliwa na majenerali wake wanne.—Soma Danieli 8:20-22.
-