-
Watiwa Nguvu na Mjumbe Kutoka Kwa MunguSikiliza Unabii wa Danieli!
-
-
naliinua macho yangu, nikatazama, na kumbe, mtu aliyevikwa nguo za kitani, viuno vyake vimefungwa dhahabu safi ya Ufazi.” (Danieli 10:4, 5)
-
-
Watiwa Nguvu na Mjumbe Kutoka Kwa MunguSikiliza Unabii wa Danieli!
-
-
12, 13. Ni nini kinachoonyeshwa na (a) mavazi ya mjumbe? (b) sura ya mjumbe?
12 Acheni tumchunguze kwa makini mjumbe huyo mwenye kuvutia aliyemwogofya Danieli kiasi hicho. Alikuwa ‘amevikwa nguo za kitani, viuno vyake vikiwa vimefungwa dhahabu safi ya Ufazi.’ Katika Israeli la kale, mshipi, naivera, na kifuko cha kifuani za kuhani wa cheo cha juu, na pia majoho ya makuhani wengine, zilitengenezwa kwa kitani nzuri na kurembeshwa kwa dhahabu. (Kutoka 28:4-8; 39:27-29) Kwa hiyo, mavazi ya mjumbe huyo yaonyesha alikuwa na wadhifa mtakatifu na wa adhama.
-
-
Watiwa Nguvu na Mjumbe Kutoka Kwa MunguSikiliza Unabii wa Danieli!
-
-
‘Mtu huyo aliyevikwa nguo za kitani’ hakuwa mwingine ila malaika mwenye wadhifa mkubwa, aliyetumikia katika kuwapo kutakatifu kwa Yehova, alipotoka na ujumbe.a
-
-
Watiwa Nguvu na Mjumbe Kutoka Kwa MunguSikiliza Unabii wa Danieli!
-
-
a Ingawa malaika huyo hatajwi kwa jina, yaonekana ndiye yuleyule ambaye sauti yake ilisikiwa ikimwagiza Gabrieli amsaidie Danieli kuhusu lile ono ambalo alikuwa ametoka tu kuona. (Linganisha Danieli 8:2, 15, 16 na Danieli 12:7, 8.) Isitoshe, Danieli 10:13 huonyesha kwamba Mikaeli, “mmoja wa hao wakuu wa mbele,” alikuja kumsaidia malaika huyo. Kwa hiyo, malaika huyo asiyetajwa kwa jina lazima alikuwa na pendeleo la kufanya kazi bega kwa bega na Gabrieli na Mikaeli.
-