Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wafalme Washindani Wakaribia Mwisho Wao
    Sikiliza Unabii wa Danieli!
    • MFALME AJITUKUZA

      11. Malaika alisema nini juu ya mtazamo wa mfalme wa kaskazini kuelekea enzi kuu ya Yehova?

      11 Kuhusu mfalme wa kaskazini, malaika aliongeza kusema hivi: “Mfalme atafanya kama apendavyo; naye atajitukuza na kujiadhimisha juu ya kila mungu, naye [akikataa kukiri enzi kuu ya Yehova] atanena maneno ya ajabu juu ya Mungu wa miungu, naye atafanikiwa mpaka ghadhabu itakapotimia; maana yaliyokusudiwa yatafanyika.

  • Wafalme Washindani Wakaribia Mwisho Wao
    Sikiliza Unabii wa Danieli!
    • 12, 13. (a) Mfalme wa kaskazini alikataaje “miungu ya baba zake”? (b) “Wanawake” ambao mfalme wa kaskazini hakuijali ‘tamaa’ yao walikuwa nani? (c) Mfalme wa kaskazini alimtukuza “mungu” gani?

      12 Akitimiza maneno hayo ya kiunabii, mfalme wa kaskazini alikataa “miungu ya baba zake,” kama vile mungu wa Utatu wa Jumuiya ya Wakristo. Mataifa ya Kikomunisti yaliendeleza moja kwa moja fundisho la kukataa kuwapo kwa Mungu. Kwa hiyo, mfalme wa kaskazini alijifanya kuwa mungu, ‘akijiadhimisha juu ya kila mungu.’ Bila kujali “aliyetamaniwa na wanawake”—nchi zilizo chini yake, kama vile Vietnam Kaskazini, ambazo zilikuwa kama vijakazi vya utawala wake—mfalme alitenda “kama apendavyo.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki