-
Maswali Kutoka kwa WasomajiMnara wa Mlinzi—2012 | Juni 15
-
-
a Udongo uliochanganywa na chuma unafananisha vitu fulani ndani ya Serikali Kuu ya Ulimwengu ya Uingereza na Marekani inayofananishwa na chuma. Baada ya muda kupita, udongo huo umefanya iwe vigumu kwa serikali hiyo kuwa na nguvu ambazo ingependa kuwa nazo.
-
-
Maswali Kutoka kwa WasomajiMnara wa Mlinzi—2012 | Juni 15
-
-
▪ Ile sanamu kubwa yenye madini mbalimbali ambayo Mfalme Nebukadneza aliona haifananishi serikali zote kuu za ulimwengu. (Dan. 2:31-45)
-