Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kufumbua Fumbo la Ule Mti Mkubwa
    Sikiliza Unabii wa Danieli!
    • 7 Mengi zaidi yalihusika katika ndoto hiyo, kwa kuwa Nebukadreza aliongezea kusema hivi: “Nikaona katika njozi za kichwa changu kitandani mwangu, na tazama, mlinzi, naye ni mtakatifu, alishuka kutoka mbinguni.

  • Kufumbua Fumbo la Ule Mti Mkubwa
    Sikiliza Unabii wa Danieli!
    • —Danieli 4:13-15.

      8. “Mlinzi” alikuwa nani?

      8 Wababiloni walikuwa na dhana yao wenyewe ya kidini juu ya viumbe wa kiroho walio wema na walio waovu. Lakini “mlinzi” huyo kutoka mbinguni alikuwa nani? Kwa kuwa alisemwa kuwa “mtakatifu,” alikuwa malaika mwadilifu aliyemwakilisha Mungu. (Linganisha Zaburi 103:20, 21.)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki