-
Kufumbua Fumbo la Ule Mti MkubwaSikiliza Unabii wa Danieli!
-
-
Walakini kiacheni kisiki cha shina lake katika ardhi, pamoja na pingu ya chuma na shaba, katika majani mororo ya kondeni; kikapate maji kwa umande wa mbinguni, na sehemu yake iwe pamoja na wanyama katika majani ya nchi.”—Danieli 4:13-15.
-
-
Kufumbua Fumbo la Ule Mti MkubwaSikiliza Unabii wa Danieli!
-
-
Kisiki cha shina kilichozuiwa kisikue kwa kufungwa pingu ya chuma na shaba kina faida gani? Kwa kweli, kisiki hicho cha shina chatimiza kusudi gani?
-