-
Kufumbua Fumbo la Ule Mti MkubwaSikiliza Unabii wa Danieli!
-
-
9. Mlinzi alisema nini hasa, na ni maswali gani yanayozuka?
9 Lazima Nebukadreza alitatanishwa kabisa aliposikia maneno yafuatayo ya mlinzi: “Moyo wake ubadilike, usiwe moyo wa binadamu, na apewe moyo wa mnyama; nyakati saba zikapite juu yake.
-
-
Kufumbua Fumbo la Ule Mti MkubwaSikiliza Unabii wa Danieli!
-
-
Kisiki cha shina hakina moyo wa binadamu unaopigapiga ndani yake. Kwa sababu hiyo, kisiki cha shina chaweza kupewaje moyo wa mnyama? Zile “nyakati saba” ni nini?
-