Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Maneno Manne Yaliyoubadili Ulimwengu
    Sikiliza Unabii wa Danieli!
    • naye alijua mtu ambaye angeweza kufasiri maandishi ya mkono ukutani. Makumi ya miaka awali, Nebukadreza, babake, alikuwa amemweka Danieli asimamie watu wake wote wenye hekima.

  • Maneno Manne Yaliyoubadili Ulimwengu
    Sikiliza Unabii wa Danieli!
    • Kwa kuwa yaonekana Belshaza hakumjua Danieli, huenda nabii huyo alikuwa amepoteza cheo chake kikubwa katika serikali baada ya Nebukadreza kufa. Lakini umaarufu haukuwa wa maana kwa Danieli. Pengine wakati huo alikuwa na umri wa miaka 90 na kitu, bado akimtumikia Yehova kwa uaminifu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki