Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Aokolewa Asiliwe na Simba!
    Sikiliza Unabii wa Danieli!
    • 12. (a) Danieli alifanya nini mara tu alipopata kujua juu ya sheria hiyo mpya? (b) Ni nani waliokuwa wakimtazama Danieli, na kwa nini?

      12 Upesi Danieli akapata kujua juu ya sheria hiyo iliyokataza kutoa sala. Mara moja, akaingia nyumbani mwake na kwenda kwenye chumba cha paa, ambapo madirisha yalikuwa yamefunguliwa kukabili Yerusalemu.b Huko, Danieli akaanza kusali kwa Mungu “kama ilivyokuwa kawaida yake.”

  • Aokolewa Asiliwe na Simba!
    Sikiliza Unabii wa Danieli!
    • b Chumba cha paa kilikuwa chumba cha faragha ambacho mtu angeweza kwenda ikiwa hakutaka kusumbuliwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki