-
Mambo Makuu Katika Kitabu cha HoseaMnara wa Mlinzi—2007 | Septemba 15
-
-
Nchi iliyokuwa ukiwa kwa miaka 70 sasa ingehitaji kutoa nafaka, divai tamu, na mafuta. Kwa lugha ya kishairi, unabii huo unasema kwamba mambo hayo mazuri yangeisihi dunia itoe chakula, nayo dunia ingeiomba mbingu mvua. Nazo mbingu zingemwomba Mungu alete mawingu ya mvua. Mambo hayo yote yangefanywa kwa kusudi la kutosheleza mahitaji ya mabaki waliokuwa wakirudi.
-