-
Jitahidi Kuwaona Wengine Kama Yehova AnavyowaonaMnara wa Mlinzi—2003 | Machi 15
-
-
Nabii Amosi aliyeishi karibu wakati mmoja na Yona, alisema kwamba siku hizo Waisraeli walipenda vitu vya kimwili na anasa.b Uovu ulikuwa umeenea sana nchini, lakini Waisraeli hawakujali hata kidogo. (Amosi 3:13-15; 4:4; 6:4-6)
-
-
Jitahidi Kuwaona Wengine Kama Yehova AnavyowaonaMnara wa Mlinzi—2003 | Machi 15
-
-
b Yeroboamu wa Pili alizidisha utajiri wa ufalme wa kaskazini kutokana na ushindi mkubwa aliopata, kurudishwa kwa maeneo yaliyokuwa yametekwa, na ushuru ambao yaelekea alikusanya.—2 Samweli 8:6; 2 Wafalme 14:23-28; 2 Mambo ya Nyakati 8:3, 4; Amosi 6:2.
-