-
Sema Neno la Mungu kwa UjasiriMnara wa Mlinzi—2004 | Novemba 15
-
-
Alikuwa “Amazia kuhani wa Betheli.” (Amosi 7:10) Jiji la Betheli lilikuwa kituo cha dini ya uasi-imani ya Israeli, ambayo ilihusisha ibada ya ndama. Kwa hiyo, Amazia alikuwa kuhani wa dini rasmi ya taifa hilo.
-
-
Sema Neno la Mungu kwa UjasiriMnara wa Mlinzi—2004 | Novemba 15
-
-
Alijaribu pia kuichochea serikali ipige marufuku kazi ya Amosi, akimwambia hivi Mfalme Yeroboamu wa Pili: “Amosi amepanga hila juu yako ndani ya nyumba ya Israeli.” (Amosi 7:10) Naam, Amazia alimshtaki Amosi kwamba alikuwa ametenda kosa la uhaini!
-