Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hukumu ya Yehova Itakuja Juu ya Waovu
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Novemba 15
    • Andiko la Amosi 2:6,

  • Hukumu ya Yehova Itakuja Juu ya Waovu
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Novemba 15
    • “Yehova amesema hivi, ‘Kwa sababu ya maasi matatu ya Israeli, na kwa sababu ya manne, sitaizuia, kwa sababu waliuza mtu mwadilifu kwa sababu tu ya fedha, na maskini kwa bei ya pea moja ya viatu.

  • Hukumu ya Yehova Itakuja Juu ya Waovu
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Novemba 15
    • 13 Waadilifu walikuwa wakiuzwa “kwa sababu tu ya fedha,” labda ikimaanisha kwamba waamuzi ambao walipokea rushwa ya fedha, walikuwa wakiwaadhibu wale wasio na hatia. Wakopeshaji walikuwa wakiwauza maskini utumwani kwa bei ya “pea moja ya viatu,” labda ili kulipa deni fulani dogo tu.

  • Hukumu ya Yehova Itakuja Juu ya Waovu
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Novemba 15
    • 14. Ni nani waliokuwa wakitendewa vibaya katika ufalme wa Israeli wa makabila kumi?

      14 Ona wale waliokuwa wakitendewa vibaya. Walikuwa waadilifu, maskini, watu wa hali ya chini, na wakaaji wapole wa nchi hiyo. Agano la Sheria ambalo Yehova alifanya kati yake na Israeli lilitaka watu wasio na ulinzi na maskini waonyeshwe huruma. Lakini, badala yake, hali za watu hao katika ufalme wa Israeli wa makabila kumi zilikuwa mbaya sana.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki