Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hukumu ya Yehova Itakuja Juu ya Waovu
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Novemba 15
    • Amosi 2:6, 7

  • Hukumu ya Yehova Itakuja Juu ya Waovu
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Novemba 15
    • Wanatamani sana mavumbi ya dunia yaliyo kwenye vichwa vya watu wa hali ya chini; nao huipotosha njia ya watu wapole.’”

  • Hukumu ya Yehova Itakuja Juu ya Waovu
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Novemba 15
    • Watu wakatili ‘walitamani sana,’ au walitafuta kwa bidii kuwashusha sana “watu wa hali ya chini” hivi kwamba maskini hao walitupa mavumbi juu ya vichwa vyao wenyewe, ambayo ni ishara ya mfadhaiko, maombolezo, au fedheha. Ufisadi ulikuwa umeenea sana hivi kwamba “watu wapole” hawakuwa na tumaini la kutendewa haki yoyote.

      14. Ni nani waliokuwa wakitendewa vibaya katika ufalme wa Israeli wa makabila kumi?

      14 Ona wale waliokuwa wakitendewa vibaya. Walikuwa waadilifu, maskini, watu wa hali ya chini, na wakaaji wapole wa nchi hiyo. Agano la Sheria ambalo Yehova alifanya kati yake na Israeli lilitaka watu wasio na ulinzi na maskini waonyeshwe huruma. Lakini, badala yake, hali za watu hao katika ufalme wa Israeli wa makabila kumi zilikuwa mbaya sana.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki