-
Jitahidi Kuwaona Wengine Kama Yehova AnavyowaonaMnara wa Mlinzi—2003 | Machi 15
-
-
Badala ya kufuata maagizo ya Mungu, Yona alitoroka! Akapanda meli iliyokuwa inasafiri kwenda Tarshishi, mbali sana na Ninawi.—Yona 1:3.
-
-
Jitahidi Kuwaona Wengine Kama Yehova AnavyowaonaMnara wa Mlinzi—2003 | Machi 15
-
-
9. Yona alionyesha sifa gani tufani kubwa ilipotisha mabaharia?
9 Yona hakutaka kutii agizo la Yehova, hivyo akapanda meli iliyompeleka mbali sana na mahali alipotumwa. Hata hivyo, Yehova hakumwacha wala kutuma nabii mwingine badala ya Yona,
-