-
Yona Ajifunza Juu ya Rehema ya YehovaMnara wa Mlinzi—1996 | Mei 15
-
-
Yona aingia Ninawi, jiji kubwa. Atembea kwa siku moja halafu atangaza: “Baada ya siku arobaini Ninawi utaangamizwa.” Je, Yona amepata ujuzi wa lugha ya Kiashuri kimuujiza? Hatuambiwi. Lakini hata ikiwa aongea kwa Kiebrania na mwingine atafsiri, upigaji mbiu wake una matokeo.
-