Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yesu Alitoka Wapi?
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Aprili 1
    • Biblia ilikuwa imetabiri karne kadhaa mapema kuhusu mahali ambapo Yesu angezaliwa, ikisema: “Nawe, Ee Bethlehemu Efratha, wewe uliye mdogo sana kuwa kati ya maelfu ya Yuda, kutoka kwako atanijia yeye atakayekuwa mtawala katika Israeli.”b (Mika 5:2) Yaelekea Bethlehemu ulikuwa mji mdogo sana hivi kwamba haungewekwa kwenye orodha ya majiji ya Yuda. Hata hivyo, mji huo mdogo ungekuja kupata heshima ya pekee. Masihi aliyeahidiwa, au Kristo, angezaliwa Bethlehemu.—Mathayo 2:3-6; Yohana 7:40-42.

  • Yesu Alitoka Wapi?
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Aprili 1
    • b Efratha (au Efrathi) ni jina la awali la Bethlehemu.—Mwanzo 35:19.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki