-
Waovu Wataendelea Hata Lini?Mnara wa Mlinzi—2000 | Februari 1
-
-
Kwa sababu hiyo sheria imelegea, wala hukumu haipatikani; kwa maana watu wabaya huwazunguka wenye haki; kwa sababu hiyo hukumu ikipatikana imepotoka.”—Habakuki 1:2-4.
-
-
Waovu Wataendelea Hata Lini?Mnara wa Mlinzi—2000 | Februari 1
-
-
“Sheria imelegea,” haitekelezwi. Nayo haki? “Haipatikani” kamwe! Haishindi kamwe. Badala yake, “watu wabaya huwazunguka wenye haki,” wakizuia hatua za kisheria zinazokusudiwa kuwalinda wasio na hatia. Kwa kweli, “hukumu ikipatikana imepotoka.” Imepotoshwa. Ni hali mbaya kama nini!
-