-
Wenye Shangwe Katika Mungu wa Wokovu WetuMnara wa Mlinzi—2000 | Februari 1
-
-
Milima ilikuona, ikaogopa; gharika ya maji ikapita; vilindi vikatoa sauti yake, vikainua juu mikono yake.
-
-
Wenye Shangwe Katika Mungu wa Wokovu WetuMnara wa Mlinzi—2000 | Februari 1
-
-
Mwaka wa 1513 K.W.K., Yehova alionyesha ukuu wake juu ya vilindi vya maji vya dunia alipoitumia Bahari Nyekundu ili kuyaharibu majeshi ya Farao. Miaka 40 baadaye, mto Yordani uliokuwa umefurika kabisa haukuwazuia kwa njia yoyote ile Waisraeli waliokuwa wakipiga mwendo wa ushindi kuingia Bara Lililoahidiwa. (Yoshua 3:15-17) Siku za nabii wa kike Debora, mvua nyingi sana ilifagilia mbali magari ya vita ya adui wa Israeli, Sisera. (Waamuzi 5:21) Yehova aweza kutumia nguvu hizohizo za mafuriko, mvua nyingi sana, na vilindi vya maji kwenye Har–Magedoni.
-