-
Wenye Shangwe Katika Mungu wa Wokovu WetuMnara wa Mlinzi—2000 | Februari 1
-
-
12. Mungu atawafanya nini adui zake, lakini ni nani atakayeokolewa?
12 Nabii huyo aendelea kufafanua matendo ya Yehova anapowaharibu adui Zake. Kwenye Habakuki 3:12, twasoma: “Ulikwenda katikati ya nchi kwa ghadhabu; ukawapura mataifa kwa hasira.”
-
-
Wenye Shangwe Katika Mungu wa Wokovu WetuMnara wa Mlinzi—2000 | Februari 1
-
-
Hata hivyo, leo mataifa yanajaribu kufutilia mbali ibada safi. Karibuni, watumishi wa Yehova watashambuliwa na majeshi ya Gogu wa Magogu. (Ezekieli 38:1–39:13; Ufunuo 17:1-5, 16-18) Je, mashambulizi hayo ya kishetani yatafaulu? La! Wakati huo Yehova atawaponda adui zake kwa hasira, akiwakanyaga kama nafaka kwenye sakafu ya kupuria.
-