-
Waovu Wataendelea Hata Lini?Mnara wa Mlinzi—2000 | Februari 1
-
-
“Kwa maana, angalieni, nawaondokesha Wakaldayo, taifa lile kali, lenye haraka kupita kiasi; wapitao katikati ya dunia, ili wayamiliki makao yasiyo yao.
-
-
Waovu Wataendelea Hata Lini?Mnara wa Mlinzi—2000 | Februari 1
-
-
10. Yehova awaondokesha akina nani?
10 Ni onyo la kiunabii lililoje kutoka kwa Aliye Juu Zaidi! Yehova awaondokesha Wakaldayo, taifa kali la Babiloni. Lipitapo “katikati ya dunia,” litayashinda makao mengi sana. Ni jambo lenye kuogofya kama nini!
-