-
Waovu Wataendelea Hata Lini?Mnara wa Mlinzi—2000 | Februari 1
-
-
Farasi zao ni wepesi kuliko chui, ni wakali kuliko mbwa-mwitu wa jioni; na wapanda farasi wao hujitapa naam, wapanda farasi wao watoka mbali sana; huruka kama tai afanyaye haraka ale.
-
-
Waovu Wataendelea Hata Lini?Mnara wa Mlinzi—2000 | Februari 1
-
-
11. Ungefafanuaje kuja kwa majeshi ya Babiloni dhidi ya Yuda?
11 Farasi za Babiloni ni wepesi kuliko chui wenye kasi. Jeshi lake la wapanda-farasi ni kali kuliko mbwa-mwitu wenye njaa wawindao usiku. Likiwa na hamu kubwa ya kwenda, ‘huitapa ardhi’ kwa kukosa subira. Tokea Babiloni lililo mbali waelekea Yuda. Hivi karibuni Wakaldayo watayavamia mawindo yao, wakiruka kama tai afanyaye haraka akale mlo mtamu.
-