-
Waovu Wataendelea Hata Lini?Mnara wa Mlinzi—2000 | Februari 1
-
-
Waja wote ili kufanya udhalimu; nyuso zao zimeelekezwa kwa bidii yao kama upepo wa mashariki, nao hukusanya mateka kama mchanga.
-
-
Waovu Wataendelea Hata Lini?Mnara wa Mlinzi—2000 | Februari 1
-
-
Je, huo ni uvamizi tu, uporaji ufanywao na askari wachache tu? La! “Waja wote ili kufanya udhalimu,” kama vile jeshi kubwa mno likusanyikavyo ili kuharibu. Nyuso zao zikiwa zimeelekezwa kwa bidii, wapanda-farasi waelekea Yuda na Yerusalemu, wakisonga kasi kama upepo wa mashariki. Majeshi ya Babiloni yateka wafungwa wengi hivi kwamba ni kana kwamba ‘wanakusanya mateka kama mchanga.’
-