-
Waovu Wataendelea Hata Lini?Mnara wa Mlinzi—2000 | Februari 1
-
-
Naam, huwadhihaki wafalme, na wakuu ni kitu cha kudharauliwa kwake; huidharau kila ngome; kwa maana hufanya chungu ya mavumbi, na kuitwaa.
-
-
Waovu Wataendelea Hata Lini?Mnara wa Mlinzi—2000 | Februari 1
-
-
12. Wababiloni wana mtazamo gani, na adui huyo mwenye nguvu sana ‘anakuwa na hatia’ ya nini?
12 Jeshi la Wakaldayo lawacheka wafalme na kuwadhihaki maofisa wakuu, ambao wote hawana nguvu za kukomesha mashambulizi yake makali. “Huidharau kila ngome,” kwa kuwa ngome yoyote ile huanguka Wababiloni ‘wafanyapo chungu ya mavumbi’ na kuishambulia toka hapo.
-