-
Siku ya Hukumu ya Yehova I Karibu!Mnara wa Mlinzi—2001 | Februari 15
-
-
Haya! lieni, ninyi mkaao katika Makteshi, maana wafanya biashara wote wameangamia; hao wote waliokuwa na mizigo ya fedha wamekatiliwa mbali.”
-
-
Siku ya Hukumu ya Yehova I Karibu!Mnara wa Mlinzi—2001 | Februari 15
-
-
Wakazi wa Makteshi, yamkini sehemu ya juu ya Bonde la Tiropoa, ‘wangelia.’ Kwa nini wangelia? Kwa sababu biashara, kutia ndani biashara ya “waliokuwa na mizigo ya fedha,” ingekoma.
-