Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Siku ya Hukumu ya Yehova I Karibu!
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Februari 15
    • Siku ile ni siku ya ghadhabu, siku ya fadhaa na dhiki, siku ya uharibifu na ukiwa, siku ya giza na utusitusi, siku ya mawingu na giza kuu,

  • Siku ya Hukumu ya Yehova I Karibu!
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Februari 15
    • 19, 20. (a) Ni baadhi ya mambo gani yaliyohusika katika kudhihirishwa kwa hasira ya kisasi ya Mungu dhidi ya Yuda na Yerusalemu? (b) Kwa kuzingatia uharibifu utakaowapata watu waovu wa mfumo huu wa mambo, ni maswali gani yanayozuka?

      19 Ilikuwa “siku ya fadhaa na dhiki” wakati Mungu alipodhihirisha ghadhabu yake dhidi ya Yuda na Yerusalemu. Wavamizi wa Babiloni walisababisha mateso mengi kwa wakazi wa Yuda, pamoja na maumivu makali ya akili, wakati walipokabili kifo na uharibifu. “Siku hiyo ya uharibifu na ukiwa” ilikuwa siku ya giza, mawingu, na utusitusi, huenda si katika njia ya ufananisho tu bali pia kihalisi kwa kuwa moshi na mauaji yalikuwa kila mahali.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki