Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Siku ya Hukumu ya Yehova I Karibu!
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Februari 15
    • 21, 22. Andiko la Sefania 1:17, 18 litatimizwaje wakati wetu?

      21 Siku ya hukumu inayotabiriwa katika Sefania 1:17, 18, ni siku yenye kuogofya kama nini! “Nami nitawaletea wanadamu dhiki,” asema Yehova Mungu, “hata watakwenda kama vipofu, kwa sababu wamemtenda BWANA dhambi; na damu yao itamwagwa kama mavumbi, na nyama yao kama nami [“mavi,” Biblia Habari Njema].

  • Siku ya Hukumu ya Yehova I Karibu!
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Februari 15
    • Kwa sababu wanatenda dhambi dhidi ya Mungu, watakwenda wakipapasa-papasa kama vipofu, wasiweze kupata ukombozi. Katika siku ya hukumu ya Yehova, damu yao “itamwagwa kama mavumbi,” kama kitu kisichofaa. Mwisho wao utakuwa wenye kufedhehesha kwelikweli, kwa kuwa Mungu atatawanya miili pamoja na viungo vya ndani vya waovu hao juu ya dunia, “kama mavi.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki