Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Siku ya Hukumu ya Yehova I Karibu!
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Februari 15
    • Fedha yao wala dhahabu yao havitaweza kuwaokoa katika siku ile ya ghadhabu ya BWANA; bali nchi yote pia itateketezwa kwa moto wa wivu wake; maana atawakomesha watu wote wakaao katika nchi hii, naam, ukomo wa kutisha.”

      22 Kama alivyofanya wakati wa Sefania, hivi karibuni Yehova atasononesha “watu wote wakaao katika nchi hii,” wale wanaokataa kutii onyo lake leo.

  • Siku ya Hukumu ya Yehova I Karibu!
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Februari 15
    • 23. Ingawa wakosaji hawataponyoka “katika siku ya hasira ya BWANA,” unabii wa Sefania watutolea tumaini gani?

      23 Hakuna awezaye kuwaokoa wale wanaopiga vita dhidi ya Mungu na watu wake. Fedha wala dhahabu hazikuwaokoa wakosaji wa Yuda, kama vile mali nyingi na hongo hazitalinda wala kuponyosha Jumuiya ya Wakristo na mfumo huu wa mambo katika ‘siku ya ghadhabu ya Yehova.’ Katika siku hiyo ya kukata maneno, ‘dunia yote itateketezwa’ kwa moto wa wivu wa Mungu akomeshapo waovu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki