Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mtafuteni Yehova Kabla ya Siku Yake ya Hasira
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Februari 15
    • Sefania 2:2, 3. Tusomapo mistari hiyo, acheni tuzingatie matakwa hayo. Sefania aliandika: “Kabla haijazaa hiyo amri, kabla haijapita siku ile kama makapi, kabla haijawajilia hasira kali ya BWANA, kabla haijawajilia siku ya hasira ya BWANA.

  • Mtafuteni Yehova Kabla ya Siku Yake ya Hasira
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Februari 15
    • Kwa sababu kama vile Yuda na Yerusalemu zilivyohukumiwa katika karne ya saba K.W.K., ndivyo mataifa ya Jumuiya ya Wakristo na, kwa kweli, waovu wote wanavyoelekea kukabiliana na Yehova Mungu kwenye “dhiki kubwa” inayokuja. (Mathayo 24:21) Wowote ambao wangependa kufichwa wakati huo lazima wachukue hatua madhubuti sasa. Jinsi gani? Kwa kumtafuta Yehova, kuutafuta uadilifu, na kuutafuta unyenyekevu, kabla haijawa kuchelewa mno!

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki