Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Siku ya Hukumu ya Yehova I Karibu!
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Februari 15
    • 11. Ni nini maana ya andiko la Sefania 1:8-11?

      11 Kuhusu siku ya Yehova andiko la Sefania 1:8-11 laongeza kusema hivi: “Na itakuwa, katika siku ile ya dhabihu ya BWANA, nitawaadhibu wakuu, na wana wa mfalme, na watu wote waliovaa mavazi ya kigeni.

  • Siku ya Hukumu ya Yehova I Karibu!
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Februari 15
    • 12. Inakuwaje kwamba watu fulani wanapatikana wakiwa ‘wamevaa mavazi ya kigeni’?

      12 Yehoahazi, Yehoyakimu, na Yekonia wangetawala baada ya Mfalme Yosia. Kisha Yerusalemu lingeharibiwa wakati wa utawala wa Zedekia. Ingawa walikuwa wanakabiliwa na maafa hayo, yaonekana watu fulani walitafuta kibali cha mataifa jirani kwa ‘kuvaa mavazi ya kigeni.’ Vivyo hivyo wengi leo hudhihirisha kwa njia mbalimbali kwamba wao si sehemu ya tengenezo la Yehova. Kwa kuwa wanathibitika kuwa sehemu ya tengenezo la Shetani, wataadhibiwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki