Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ‘Penda Kweli na Amani’!
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Januari 1
    • “Mikono Yenu na Iwe Hodari”

      4. Zekaria alitia moyo Israeli litende kwa njia gani ili kupata amani?

      4 Kwa mara ya sita katika Zekaria sura ya 8, twasikia tangazo lenye kusisimua kutoka kwa Yehova: “BWANA wa majeshi asema hivi, Mikono yenu na iwe hodari, ninyi mnaosikia siku hizi maneno haya kwa vinywa vya manabii, waliokuwapo siku hiyo ulipowekwa msingi wa nyumba ya BWANA wa majeshi; yaani, hekalu hilo; ili lijengwe.

  • ‘Penda Kweli na Amani’!
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Januari 1
    • 5, 6. (a) Kwa sababu ya Waisraeli kuvunjika moyo, kulikuwa na hali gani katika Israeli? (b) Yehova aliahidi Israeli badiliko gani likitanguliza ibada yake?

      5 Zekaria alisema maneno haya hekalu lilipokuwa likijengwa Yerusalemu. Awali, Waisraeli waliokuwa wamerudi kutoka Babiloni walivunjika moyo na kuacha kazi ya kujenga hekalu.

  • ‘Penda Kweli na Amani’!
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Januari 1
    • 6 Kwa vile sasa hekalu lilikuwa likijengwa, Zekaria aliwatia moyo Wayahudi ‘wawe hodari,’ kwa moyo mkuu wakitanguliza ibada ya Yehova.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki