-
‘Penda Kweli na Amani’!Mnara wa Mlinzi—1996 | Januari 1
-
-
Maana kabla ya siku zile hapakuwa na ijara kwa mwanadamu, wala hapakuwa na ijara kwa mnyama; wala hapakuwa na amani kwake yeye aliyetoka, wala kwake yeye aliyeingia, kwa sababu ya adui; nami nalimwacha kila mtu kugombana na jirani yake.”—Zekaria 8:9, 10.
-
-
‘Penda Kweli na Amani’!Mnara wa Mlinzi—1996 | Januari 1
-
-
Kwa sababu wao waligeuza uangalifu wao kwa anasa zao wenyewe, hawakuwa na baraka wala amani kutoka kwa Yehova. Hata ingawa walilima mashamba yao na kutunza mashamba yao ya mizabibu, hawakupata ufanisi. (Hagai 1:3-6) Ilikuwa kana kwamba walikuwa wakifanya kazi ‘bila ijara.’
-