-
‘Penda Kweli na Amani’!Mnara wa Mlinzi—1996 | Januari 1
-
-
Kisha itakuwa, kama vile mlivyokuwa laana katika mataifa, Ee nyumba ya Yuda, na nyumba ya Israeli, ndivyo nitakavyowaokoa, nanyi mtakuwa baraka; msiogope, lakini mikono yenu na iwe hodari.” (Zekaria 8:11-13)
-
-
‘Penda Kweli na Amani’!Mnara wa Mlinzi—1996 | Januari 1
-
-
Mapema, mataifa yalipotaka kutaja kielelezo cha laana, yaliweza kutaja Israeli. Sasa Israeli lingekuwa kielelezo cha baraka. Hiyo ilikuwa sababu bora kama nini ya ‘kuacha mikono yao iwe hodari’!
-