Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Huchukia Mwenendo wa Hila
    Mnara wa Mlinzi—2002 | Mei 1
    • 16, 17. Watu fulani walifuata mwenendo gani wa hila?

      16 Kisha Malaki ataja kosa la pili la hila: kumtendea vibaya mwenzi wa ndoa, hasa kwa kumtaliki bila sababu nzuri. Mstari wa 14 wa sura ya 2 wasema: “BWANA amekuwa shahidi kati ya wewe na mke wa ujana wako, uliyemtenda mambo ya hiana [“hila,” NW], angawa yeye ni mwenzako, na mke wa agano lako.”

  • Yehova Huchukia Mwenendo wa Hila
    Mnara wa Mlinzi—2002 | Mei 1
    • 17 Fikiria kwa uzito maneno ya Malaki na uone jinsi yanavyogusa mioyo na kuchochea huruma. Anataja “mwenzako, na mke wa ujana wako.” Kila mwanamume anayehusika alikuwa ameoa mwabudu mwenzake, mwanamke Mwisraeli, aliyekuwa amemchagua kuwa mwenzi mpendwa wa maisha. Ingawa huenda wote wawili walifunga ndoa walipokuwa wachanga, kuzeeka na kupita kwa wakati hakukupaswa kubatilisha agano walilokuwa wamefanya, yaani, ndoa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki