-
Yehova—Chanzo cha Haki na Uadilifu wa KweliMnara wa Mlinzi—1998 | Agosti 1
-
-
Waliponyamaza, Yesu alijibu swali lake mwenyewe kwa kuuliza kama hawangemwokoa kondoo aliyeanguka shimoni siku ya sabato.b
-
-
Yehova—Chanzo cha Haki na Uadilifu wa KweliMnara wa Mlinzi—1998 | Agosti 1
-
-
b Yesu alichagua kielelezo bora kwa sababu sheria ya mdomo ya Wayahudi iliwaruhusu hasa kusaidia mnyama aliyekuwa katika taabu siku ya sabato. Katika pindi nyingine kadhaa, kulikuwa na mabishano kuhusu suala hilohilo, yaani, kama iliruhusiwa kisheria kuponya siku ya Sabato.—Luka 13:10-17; 14:1-6; Yohana 9:13-16.
-