Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Hutaka Nini Kutoka Kwetu Leo?
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Septemba 15
    • “Huyu ni Mwana wangu, mpendwa, ambaye mimi nimemkubali; msikilizeni yeye.” (Mathayo 17:1-5) Kwa ujumla, Yehova hutaka haya kutoka kwetu—kumsikiliza Mwana wake na kufuata kielelezo na mafundisho yake. (Mathayo 16:24)

  • Yehova Hutaka Nini Kutoka Kwetu Leo?
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Septemba 15
    • 5. Wakristo wako chini ya sheria gani, na sheria hiyo ilianza kutenda lini?

      5 Kumsikiliza na kumwiga Yesu kwahusisha nini? Je, kwamaanisha kuwa chini ya sheria? Paulo aliandika hivi: “Mimi mwenyewe siko chini ya sheria.” Alikuwa akirejezea “agano la zamani,” agano la Sheria lililofanywa na Israeli. Paulo alikiri kwamba yupo “chini ya sheria kuelekea Kristo.” (1 Wakorintho 9:20, 21; 2 Wakorintho 3:14) Agano la Sheria la zamani lilipokoma, “agano jipya” likaanza kutenda likiwa na “sheria [yake] ya Kristo” ambayo watumishi wote wa Yehova leo huwajibika kuitii.—Luka 22:20; Wagalatia 6:2; Waebrania 8:7-13.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki