-
Sikiliza Neno la Mungu la KiunabiiMnara wa Mlinzi—2000 | Aprili 1
-
-
Sababu moja iliyofanya Yesu aliite tukio hilo ono ni kwamba Musa na Eliya hawakuwepo kihalisi. Kristo peke yake ndiye aliyekuwapo kihalisi. (Mathayo 17:8, 9)
-
-
Sikiliza Neno la Mungu la KiunabiiMnara wa Mlinzi—2000 | Aprili 1
-
-
Kwa hakika, maagizo ya Yesu kwamba wasimwambie mtu awaye yote ono hilo hadi afufuliwe kutoka katika wafu yaonyesha kwamba kukwezwa na kutukuzwa kwake kungetukia baada ya kufufuliwa kwake.
-