Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ‘Yule Mtumwa Mwaminifu’ Apita Mtihani wa Ukaguzi!
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Machi 1
    • “Mtumwa Huyo Mwovu”

      2, 3. Jamii ya “mtumwa huyo mwovu” ilitoka wapi, nayo ilisitawi jinsi gani?

      2 Yesu alimtaja mtumwa mwovu mara tu baada ya kuzungumza kuhusu “mtumwa mwaminifu na mwenye busara.” Alisema: “Mtumwa huyo mwovu akisema moyoni mwake, ‘Bwana wangu anakawia,’

  • ‘Yule Mtumwa Mwaminifu’ Apita Mtihani wa Ukaguzi!
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Machi 1
    • (Mathayo 24:48

  • ‘Yule Mtumwa Mwaminifu’ Apita Mtihani wa Ukaguzi!
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Machi 1
    • Maneno “mtumwa huyo mwovu” yanakazia maneno ya Yesu yaliyotangulia kuhusu mtumwa mwaminifu na mwenye busara. Naam, wale wanaofanyiza “mtumwa huyo mwovu” walitoka miongoni mwa jamii ya mtumwa mwaminifu.a Jinsi gani?

      3 Kabla ya mwaka wa 1914 washiriki wengi wa jamii ya mtumwa mwaminifu walikuwa na matazamio makubwa ya kukutana na Bwana-arusi mbinguni mwaka huo, lakini matazamio yao hayakutimizwa. Kwa sababu hiyo na hali nyingine, wengine walikata tamaa na wachache wakawa wenye uchungu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki