-
Yesu Alifundisha Nini Kuhusu Moto wa Mateso?Mnara wa Mlinzi—2008 | Novemba 1
-
-
Wakati mwingine, Yesu alitaja kuhusu kipindi cha hukumu wakati ambapo angewaambia hivi waovu: “Ondokeni mbele yangu enyi mliolaaniwa! Nendeni katika moto wa milele aliotayarishiwa Ibilisi na malaika wake.”
-