-
Pontio Pilato Alikuwa Nani?Mnara wa Mlinzi—2005 | Septemba 15
-
-
Huenda Pilato alitaka kufanya lililo sawa, lakini alitaka pia kutetea cheo chake na kuupendeza umati. Mwishowe, badala ya kusikiliza dhamiri yake na kufuatia haki, alitanguliza kazi yake. Aliomba maji, akanawa mikono na kudai kwamba hakuwa na hatia kwa kifo ambacho aliamuru.a
-
-
Pontio Pilato Alikuwa Nani?Mnara wa Mlinzi—2005 | Septemba 15
-
-
a Kunawa mikono kulikuwa desturi ya Kiyahudi wala si ya Kiroma, njia ambayo ilionyesha kwamba mtu hakuwa na hatia ya damu.—Kumbukumbu la Torati 21:6, 7.
-