-
Endeleeni Kutenda MemaMnara wa Mlinzi—2008 | Mei 15
-
-
Na mkiwasalimu ndugu zenu tu, mnafanya jambo gani linalozidi lile la kawaida? Je, watu wa mataifa pia hawafanyi jambo hilohilo?” (Mt. 5:46, 47)
-
-
Endeleeni Kutenda MemaMnara wa Mlinzi—2008 | Mei 15
-
-
7. Kwa nini halingekuwa jambo linalozidi lile la kawaida ikiwa tungewasalimu “ndugu” zetu tu?
7 Salamu ya kawaida ya Wayahudi ilitia ndani neno “amani.” (Amu. 19:20; Yoh. 20:19) Kusudi la salamu hiyo lilikuwa kumtakia mtu afya njema, hali njema, na ufanisi. Halingekuwa ‘jambo linalozidi lile la kawaida’ ikiwa tungewasalimu tu wale ambao tunawaona kuwa “ndugu” zetu. Kama Yesu alivyoonyesha, “watu wa mataifa” walifanya vivyo hivyo.
-