Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tunapaswa Kusali kwa Mungu Jinsi Gani?
    Amkeni!—2012 | Februari
    • Na usituingize katika jaribu, bali utukomboe kutokana na yule mwovu.’”​—Mathayo 6:9-13.

  • Tunapaswa Kusali kwa Mungu Jinsi Gani?
    Amkeni!—2012 | Februari
    • “Utupe leo mkate wetu kwa ajili ya siku hii.” Baada ya kutanguliza jina na Ufalme wa Mungu, Yesu alitaja mahitaji yetu. Maneno yake yanaonyesha kwamba tunapaswa kuepuka kufuatilia mambo ambayo yanazidi yale tunayohitaji “kwa ajili ya siku hii.” Badala yake, tunapaswa kutii shauri linalopatikana kwenye Methali 30:8: “Usinipe umaskini wala utajiri. Acha nile chakula nilichoamriwa.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki