Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Uwe Tayari!
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Machi 15
    • Fikiria maneno ya mwisho ya unabii mkubwa wa Yesu ulioandikwa katika kitabu cha Marko: “Endeleeni kukesha, kwa maana hamjui bwana wa nyumba anakuja wakati gani, kama ni wakati wa jioni au katikati ya usiku au anapowika jogoo au asubuhi na mapema;

  • Uwe Tayari!
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Machi 15
    • Marko 13:35

  • Uwe Tayari!
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Machi 15
    • 17 Himizo la Yesu linachochea fikira. Alitaja vipindi vinne tofauti vya kukesha wakati wa usiku. Kipindi cha mwisho ndicho kingekuwa kipindi kigumu zaidi cha kukesha kwa sababu kilianza saa tisa ya usiku mpaka jua linapochomoza asubuhi. Wataalamu wa kupanga vita waliona kipindi hicho kuwa kipindi kizuri zaidi cha kushambulia maadui, kwa kuwa ilikuwa nafasi bora zaidi ya kuwakuta wakiwa ‘wamelala usingizi.’ Vivyo hivyo leo, wakati ambapo ulimwengu unalala usingizi mzito wa kiroho, huenda tukahitaji kujikaza zaidi ili tuendelee kukesha.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki