-
Yesu Alitumia Wakati Pamoja na WatotoMnara wa Mlinzi—1998 | Novemba 1
-
-
Basi wazia mshangao wa wanafunzi hao, Yesu alipowaghadhibikia! “Waacheni watoto wachanga waje kwangu,” akawaambia. “Msijaribu kuwakomesha, kwa maana ufalme wa Mungu ni wa walio kama hao.”
-
-
Yesu Alitumia Wakati Pamoja na WatotoMnara wa Mlinzi—1998 | Novemba 1
-
-
Yesu aliona sifa zenye kupendeza katika watoto. Kwa kawaida wao ni wadadisi na wenye kutumaini. Watakubali yale waambiwayo na wazazi wao na hata kuwatetea mbele ya watoto wengine. Hali yao ya kuwa tayari kusikiliza na kufundishwa yastahili kuigwa na wote wanaotaka kuingia katika Ufalme wa Mungu. Kama vile Yesu alivyosema, “ufalme wa Mungu ni wa walio kama hao.”—Linganisha Mathayo 18:1-5.
-