-
“Mwacheni Msomaji Atumie Ufahamu”Mnara wa Mlinzi—1999 | Mei 1
-
-
Ole wao wanawake wenye mimba na wale wanaonyonyesha kitoto kichanga katika siku hizo! Fulizeni kusali kwamba isipate kutukia wakati wa majira ya baridi kali.”—Marko 13:14-18.
-
-
“Mwacheni Msomaji Atumie Ufahamu”Mnara wa Mlinzi—1999 | Mei 1
-
-
Ni kweli kwamba huenda nyakati zikawa ngumu—kama vile inavyoelekea zilikuwa kwa wanawake wajawazito mwaka wa 66 W.K. waliokimbia kutoka Yudea au wowote waliolazimika kusafiri katika hali yenye baridi na mvua. Lakini twaweza kuwa na uhakika kwamba Mungu atafanya kuokoka kuwezekane.
-