-
Msamaria Athibitika Kuwa Jirani MwemaMnara wa Mlinzi—1998 | Julai 1
-
-
Ndipo huyo mwanasheria akamwuliza Yesu: “Ni nani kwa kweli aliye jirani yangu?” (Luka 10:25-29; Mambo ya Walawi 19:18; Kumbukumbu la Torati 6:5) Kulingana na Mafarisayo, neno “jirani” lilitumiwa kuwahusu wale tu walioshika mapokeo ya Kiyahudi—kwa hakika si kuwahusu wasio Wayahudi au Wasamaria. Kama mwanasheria huyo mwenye udadisi alifikiri kwamba Yesu angeunga mkono maoni yake, jambo la kushangaza lilimngoja.
-
-
Msamaria Athibitika Kuwa Jirani MwemaMnara wa Mlinzi—1998 | Julai 1
-
-
Somo Kwetu
Mwanamume aliyemwuliza Yesu maswali alifanya hivyo katika jitahada ya kutaka “kujithibitisha mwenyewe kuwa mwadilifu.” (Luka 10:29) Labda alifikiri kwamba Yesu angesifu kufuata kwake kwa uangalifu sana Sheria ya Kimusa. Lakini mtu huyu mwenye kujitanguliza alihitaji kujua ukweli wa mithali hii ya Biblia: “Kila njia ya mtu ni sawa machoni pake mwenyewe; bali BWANA huipima mioyo.”—Mithali 21:2.
-