-
Kutembea Pamoja na Mungu—Tukifikiria UmileleMnara wa Mlinzi—1998 | Novemba 15
-
-
Kwa hiyo akasema, ‘Hakika nitafanya hili: Hakika nitabomoa ghala zangu na kujenga zilizo kubwa zaidi, na humo hakika nitakusanya nafaka yangu yote na vitu vyangu vyema vyote;
-
-
Kutembea Pamoja na Mungu—Tukifikiria UmileleMnara wa Mlinzi—1998 | Novemba 15
-
-
15 Je, hoja ya Yesu ilikuwa kwamba tajiri hakupaswa kujitahidi kupata vitu vya kimwili ili awe salama wakati ujao? La, kwa kuwa Maandiko hutia moyo kufanya kazi kwa bidii. (2 Wathesalonike 3:10) Kosa la tajiri huyo lilikuwa kwamba hakufanya yaliyokuwa ya lazima ili kuwa “tajiri kuelekea Mungu.” Hata ikiwa angeliweza kufurahia utajiri kwa miaka mingi, angelikufa hatimaye. Alikosa busara kwa kutofikiria umilele.
-